Njia ya kila siku haioti majani, Mashetani wekundu 2 Blackburn 0.Soma Zaidi ...
Njia ya kila siku haioti majani, Mashetani wekundu 2 Blackburn 0.
Mtanzania mmoja mwenye umri wa miaka 35 anashtakiwa nchini Denmak kwa kosa la kumpiga mkewe hadi kumuua,mama huyo mwenye watoto wawili aliuliwa na mumewe siku ya jumatatu mchana katika nyumba yao iliopo Skovly gate, holte.Mtanzania huyo alifikishwa mahakamani siku ya jumanne mchana lakini alikataa kuzungumza mahakamani hapo,mwendesha mashtaka bibi Christina Scharling aliilezeza mahakama jinsi mauaji hayo yalivotokea kwa mujibu wa mtu alietoa ushahidi ambae ni rafiki wa familia hio.
Soma Zaidi ...
Kwa mara nyengine tena mtanzania Elizabeth na mshirika wake mnigeria Kevin wamebakia kwenye jumba la Big Brother huku Kristal na Mwenziwe Quinn wakiaga mashindano hayo.hii ni mara ya pili kwa Elizabeth kunusurika kutolewa kwenye jumba hilo.
Soma Zaidi ...
Timu ya Chelsea jioni hii imeikandamiza Blackburn magoli 5-0 na kushika usukani wa ligi kuu nchini uingireza kwa kua na alama 24.Matokeo haya yamemfurahisha sana swahiba wangu Farid kule Leuven lakini furaha hii huenda ikawa fupi kwani iwapo kama mashetani wekundu watashinda mechi yao ya kesho dhidi ya Liverpool watashika usukani wa ligi hio kwani watakua na alama 25 .
Soma Zaidi ...
Desiree Jennings, 25, alipatwa na ugonjwa unaompata mtu mmoja kati ya watu milioni moja baada ya kuchomwa sindano ya kinga ya mafua ya nguruwe ambayo ilisababisha awe kama amepooza.
Jennings hupatwa na maumivu makali sana anapotembea kwenda mbele na hulazimika kujinyonga nyonga na kuzungusha miguu yake ili kupunguza maumivu hayo lakini hata hivyo hawezi kutembea umbali mrefu.
Lakini hali hiyo hutoweka kabisa na hutembea vizuri kabisa anapotembea kinyume kinyume.
Cha ajabu zaidi huweza kukimbia kwenda mbele bila ya matatizo yoyote lakini anaposimama hali hubadilika na huhitaji mtu kumsaidia asianguke.
Hali hiyo ilimtokea siku 10 baada ya kuchomwa sindano hiyo ya kinga ya ugonjwa wa mafua ya nguruwe H1N1.
Ndoto ya Jennings kuwa mcheza shoo ya ushangiliaji wa timu ya soka ya Marekani ya Washington Redskins imetoweka baada ya kukumbwa na hali hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na madaktari Jennings anasumbuliwa na ugonjwa unaowapata watu wachache sana duniani unaoitwa dystonia.Ugonjwa huo huifanya misuli isinyae na kupelekea hali hiyo aliyo nayo.
Chini ni video yake inayomuonyesha jinsi anavyotembea kwa tabu kwenda mbele huku akitembea kinyume nyume bila matatizo yoyote.
Soma Zaidi ...
Hivi serikali ni masikini kiasi ya kushindwa hata kununua viti na meza za kukalia wanafunzi?
Soma Zaidi ...
Jamaa mmmoja nchini Marekani alivamia duka la fedha akiwa na bunduki na kumwekea bunduki kichwani mfanyakazi wa duka hilo kwa nia ya kupora fedha lakini aliwashangaza watu alipobadili uamuzi wake ghafla na kupiga magoti chini na kuanza kumuomba msamaha.
Soma Zaidi ...
Timu ya taifa ya Ghana U20 wametwaa kombe la dunia kwa vijana U20 baada ya kuwatoa Brasil kwa njia ya matuata kwa mgoli 4-3 kwa mchezo uliochezwa kwa dakika 120 bila ya timu yoyote kuona lango la mwenziwe huku Ghana wakicheza watu 10 kwa dakika takriban 100 baada ya mchezaji wao mmoja kupewa kadi nyekundu.
Soma Zaidi ...
Mike Tyson na Evander Holyfield wanakutana tena kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 lakini safari hii si kwenye ulingo tena ni kwenye shoo ya mwanamama Oprah Winfrey.
Soma Zaidi ...
Wanasayansi na madaktari nchini Urusi wamestaajabishwa na mtoto mwenye umri wa miezi tisa ambaye mwili wake umekuwa ukitoa maandishi katika lugha ya kiarabu yakinukuu vipande vya maneno katika Quran.
Mkaazi wa kipawa akiwa amebebwa na wenziwe baada ya kupotelewa na mwanawe katika purukushani za kupigwa mabomu
Baadhi ya Kinamama wenye nyumba eneo la Kipawa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiomba dua kupinga kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya zamani na kutaka itumike sheria ya sasa kwani gharama za vifaa vya ujenzi zimepanda.Wenye nyumba hao walitakiwa kuhama eneo hilo mwaka 1997 Aprili,Jana walikutana kwa nia ya kutafuta taratibu za kisheria kuhusiana na suala hilo
Vijana wakionekana kuwasaidia wanafunzi kuvuka njia katika mtaa wa mivinjeni kwenye barabara ya Kilwa ( kilwa road) baada ya kukosekana kwa wenye kazi hio ( askari wa usalama barabarani), eneo hilo linasemekana kuwa na ajali nyingi zinazowahusisha wanafunzi wakati wakivuka barabara.
Idadi ya waislamu duniani inakadiriwa kufikia watu bilioni 1.57 na hivyo kumaanisha kwamba katika kila watu wanne duniani mtu mmoja kati yao ni muumini wa dini ya kiislamu.
Ndoto za England kufuzu kucheza final za kombe la dunia 2010 huko Afrika Kusini bila ya kufungwa mechi hata moja leo zimegonga mwamba baada ya kufungwa katika mechi yao ya 9 bao moja na Ukraine mechi ambayo ilichezwa katika uwanja wa Dnipro Stadium Ukraine.Ukraine walifunga goli hilo kwa njia ya tuta baada ya Rober Green kumchezea rafu Artem Milevskiy ndani ya box na kutolewa nje kwa kadi nyekundu.England walimtoa winga wao machachari Aaron Lenon ili kumuwezesha David James kuingia,kwa mtokeo haya Ukraine imejipa matumaini ya kufuzu baada ya kujivuta katika nafasi ya pili wakiwa na alama 18 lakini watalazimika kushinda katika mechi yao ya mwisho watakapocheza siku ya jumatano tarehe 14 octoba dhidi ya Andora katika uwanja wa Estadio Comunal la Vella, Andora.
Soma Zaidi ...

I realized as I lay down to sleep
We haven't spoke in weeks-
So many things that I'd like to know
Come have a talk with me
I need a sign, something I can see
Why all the mystery?
I try not to fall for make believe
But what is reality?Where do we go?
What do we know?
Life has to have a meaning
Show me the light
Show me the way
Show that you're listening
Show me that you love me
Show me that you walk with me
Hopefully, just above me
Heaven's watching over me
Guess it's funny how I say thanks to you
For all you've given me
Sometimes the price of what you gave to me
I can't stop questioning
O God of love, peace, and mercy
Why so much suffering?
I pray for the world, it gets worse to me
Wonder if you're listening
When people go
Why do they go?
Why don't you choose me?
But someday I know
I'm gonna go
I hope you're waiting for me
Show me that you love me
Show me that you walk with me
Hopefully, just above me
Heaven's watching over me
Maybe we'll talk
Some other night
Right now I'll take it easy
Won't spent my time
Waiting to die
Enjoy the life I'm living
Show me that you love me
Show me that you walk with me
Hopefully, just above me
Heaven's watching over me
Soma Zaidi ...
Ikiwa mayai matatu yanauzwa bilioni mia moja je kuku mmoja atauzwa bei gani?
Soma Zaidi ...



Kwa zile nchi za baridi najua hivi vitambaa vya shingo huwa wanajifunga kwa ajili ya kujikinga na baridi lakini siku hizi kila mtu bongo anajifunga kitambaa cha shingo, sasa mimi huwa najiuliza mswali mengi bila ya majibu, jee siku hizi bongo nako kuna bari? au na wao wanaiga tu bila kujua maana yake? au wao wana maana nyengine wanapojifunga hivi vitambaa shingoni? kwa sababu ninavyojua mimi kule bongo jua ni kali sana au siku hizi hali ya hewa imebadilika?.kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba aniandikie kupitia e-mail yangu.
Wachezaji wa Chelsea wakishangilria goli la kwanza lililofungwa na Anelka na baadae goli la pili lilifungwa na Malouda,kwa matokeo hayo Chelsea waizuia Liverpool kubaki katika nafasi ya 5 wakiwa na alama 15 sawa na Arsenal lakini Arsenal wako mbele kwa tofauti ya magoli na pia wako nyuma kwa mchezo mmoja huhuku Chelsea wakipanda kileleni mwa ligi hio kwa kua na alama 21 wakifuatiwa na Mashetani wekundu kwa kuwa na alama 19 na nafsi ya tatu ikishikiliwa na Tottenham kwa kuwa na alama 16
Wanafunzi wa skuli ya Ali Hassan Mwinyi Primary School wakiwa manajinunulia peni kwa ajili ya kuandiki skuli
Mabingwa wa uingereza leo watajitupa uwanjani Old Trafford kuminyana na Sunderland huku wakimkosa mshambuliaji wao Michael Owen baada ya kuumia katika mechi ya Champions League, lakini majeraha alionayo sio makubwa kama mwanzoni ilivokua ikihofiwa.Wakati huo huo mlinda mlango Edwin van der sar ameanza mazoezi kati kati ya wiki lakini bado hajawa tayari kwa kucheza.