Mtanzania mmoja mwenye umri wa miaka 35 anashtakiwa nchini Denmak kwa kosa la kumpiga mkewe hadi kumuua,mama huyo mwenye watoto wawili aliuliwa na mumewe siku ya jumatatu mchana katika nyumba yao iliopo Skovly gate, holte.Mtanzania huyo alifikishwa mahakamani siku ya jumanne mchana lakini alikataa kuzungumza mahakamani hapo,mwendesha mashtaka bibi Christina Scharling aliilezeza mahakama jinsi mauaji hayo yalivotokea kwa mujibu wa mtu alietoa ushahidi ambae ni rafiki wa familia hio.
No comments:
Post a Comment