Monday, October 5, 2009

WABONGO NA VITAMBAA VYA SHINGO







Kwa zile nchi za baridi najua hivi vitambaa vya shingo huwa wanajifunga kwa ajili ya kujikinga na baridi lakini siku hizi kila mtu bongo anajifunga kitambaa cha shingo, sasa mimi huwa najiuliza mswali mengi bila ya majibu, jee siku hizi bongo nako kuna bari? au na wao wanaiga tu bila kujua maana yake? au wao wana maana nyengine wanapojifunga hivi vitambaa shingoni? kwa sababu ninavyojua mimi kule bongo jua ni kali sana au siku hizi hali ya hewa imebadilika?.kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba aniandikie kupitia e-mail yangu.

No comments:

Post a Comment