Sunday, October 4, 2009

LIVERPOOL WASHINDWA KUPUMUA KWA STAMFORD BRIDGE

Wachezaji wa Chelsea wakishangilria goli la kwanza lililofungwa na Anelka na baadae goli la pili lilifungwa na Malouda,kwa matokeo hayo Chelsea waizuia Liverpool kubaki katika nafasi ya 5 wakiwa na alama 15 sawa na Arsenal lakini Arsenal wako mbele kwa tofauti ya magoli na pia wako nyuma kwa mchezo mmoja huhuku Chelsea wakipanda kileleni mwa ligi hio kwa kua na alama 21 wakifuatiwa na Mashetani wekundu kwa kuwa na alama 19 na nafsi ya tatu ikishikiliwa na Tottenham kwa kuwa na alama 16

No comments:

Post a Comment