Saturday, October 24, 2009

CHELSEA WAIBAMIZA BLACKBURN STAMFORD BRIDGE

Timu ya Chelsea jioni hii imeikandamiza Blackburn magoli 5-0 na kushika usukani wa ligi kuu nchini uingireza kwa kua na alama 24.Matokeo haya yamemfurahisha sana swahiba wangu Farid kule Leuven lakini furaha hii huenda ikawa fupi kwani iwapo kama mashetani wekundu watashinda mechi yao ya kesho dhidi ya Liverpool watashika usukani wa ligi hio kwani watakua na alama 25 .

No comments:

Post a Comment