Friday, October 16, 2009

GHANA MABINGWA WA DUNIA U20

Timu ya taifa ya Ghana U20 wametwaa kombe la dunia kwa vijana U20 baada ya kuwatoa Brasil kwa njia ya matuata kwa mgoli 4-3 kwa mchezo uliochezwa kwa dakika 120 bila ya timu yoyote kuona lango la mwenziwe huku Ghana wakicheza watu 10 kwa dakika takriban 100 baada ya mchezaji wao mmoja kupewa kadi nyekundu.

No comments:

Post a Comment