Barca leo wanashika uongozi wa ligi kuu ya hispania kwa kuwachakaza bila ya huruma Real Zaragoza 6-1 na kujikusanyia jumla ya alama 22 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Real Madrid kwa kuwa na alama 19 na nafasi ya tatu inashikiliwa na Sevilla FC kwa kua na jumla ya alama 16.Barcalona watajitupa uwanjani siku ya jumaano tarehe 28 oct, watakapocheza na cultural leonesa,kombe la Copa del Rey
No comments:
Post a Comment