Tuesday, July 6, 2010

ENSCHEDE STATION NCHINI UHOLANZI MCHANA HUU

Leo nilitembelea maeneo ya mji wa Enschede, mji ambao kama unatokea Amsterdam kwa treni ndio kituo cha mwisho kwa Uholanzi na ukitoka mji huu unaingia Ujerumani na nikaona nikuleleeni na nyinyi hizi taswira za hapa Station.

Hii ni sehemu ya mbele ya kuingilia kwenye matreni Mjini Enschede
Na hapa ni sehemu ya mabasi mjini Enschede

1 comment:

  1. Hizi nchi za wenzetu hawana mali ghafi hata moja lakini nchi zao zinang´ara tofauti na nchi zetu ambazo zina kila aina ya mali lakini nchi mbovu na mazingira pia mabovu.

    ReplyDelete