Friday, May 21, 2010

WABONGO NA MABANGO YA MWISHO WA DUNIA

Bango hili ambalo linaonesha tarehe mwezi na mwaka ambapo dunia itafikia mwisho wake lipo maeneo ya Ubungo kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani, ama kweli uendawazimu uko wa aina nyingi

No comments:

Post a Comment