Saturday, May 1, 2010

NANI KASEMA ULAYA WATU HAWALI DAGAA?

Kuna watu Zenji wanadanganyana kama ulaya watu hawali dagaa, leo tulifanya Shopping ya dagaa sokoni Enschede na huu ndio ushahidi tosha kama huku pia ni dagaa kwenda mbele.


Hawa wanauzwa euro 3 kwa kilo
Hawa wanauzwa euro 10 kwa kilo 5


.

No comments:

Post a Comment