Saturday, May 1, 2010

I LOVE TANZANIA

Jana nilitembelea mitaa ya Twello na nilikutana na hii gari ikiwa na sticker ya I love Tanzania, lakini nilishindwa kujua kwa mara moja kama mwenyewe ni Mtanzania ama ni mzungu ambae anaipenda tu Tanzania.

.

No comments:

Post a Comment