Assalaam a'laykum,
Nataraji umzima wa afya. Kwa unyenyekevu kabisa, tungependa kuwajulisha wote wanaotembelea mtandao wetu kuwa, kuanzia sasa watumie 'web address' hii: www.salamatrust.com/ badala ya www.zenjydarsalama.co.uk/.
'Web address' ya www.zenjydarsalama.co.uk/ itakuwepo kwa muda wa miezi michache ijayo, lakini tungeshauri tuanze kutumia www.salamatrust.com/ ili tupate uzoefu nayo, inshallah.
Mabadiliko haya yametokea baada ya uamuzi wa kubadili jina kuwa Salama Charitable Trust badala ya Zenjydar Salama Trust.
Inshallah Khayr.
Wabillahi tawfeeq.
Wabillahi tawfeeq.
--
Saleh
Saleh
Salama Trust
No comments:
Post a Comment