Sunday, April 18, 2010

KAMISHNA MKUU WA SHIRIKA LA WAKIMBIZI LA UMOJA WA MATAIFA


Ashuhudia zoezi la kupewa uraia wakimbizi wa Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania tangu mwaka 1972


Kamishna mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi-UNHCR, Antonio Gutteres, amemaliza ziara yake nchini Tanzania huku akishuhudia zoezi la Tanzania kuwapa uraia zaidi ya wakimbizi laki moja na elfu sitini kutoka nchini Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania tangu mwaka 1972.

.

No comments:

Post a Comment