Tuesday, March 9, 2010

YOTE HAYA NI SIMU TU

Jamaa huyu ilibidi apige mbizi kwenye haya maji machafu kwa ajili ya kwenda kutafuta simu ilio tumbukia, bila ya kujali madhara yatakayompata kwa afya yake kutokana na maji haya machafu, hii imetokea maeneo ya Mandela Road Dar.

No comments:

Post a Comment