Tuesday, March 9, 2010

OCEAN VIEW YA ZANZIBAR

Hawa ni baadhi ya wachezaji wanaounda timu ya Ocean View ya Zanzibar, hii ilikua leo walipocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba SC ya Tanganyika mechi ambayo ilichezwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar-es-salaam mechi ambayo ilitoka 3-3, na mimi nawajua baadhi ya wachezaji katika timu hii.

Mlinda mlango ni Mnyupe, Maulid Kapenta ni wa mwanzo kutoka kulia waliosimama, wa atu kutoka kulia ni Mwinyi Deo, na wa kati kati waliochutama nimemsahau jina nikimkumbuka nitwaambia.

No comments:

Post a Comment