Tuesday, March 2, 2010

MSAADA - USAFIRISHAJI CONTENA KWENDA ZANZIBAR

AS,

Shk Ben wa Finland, amepatiwa contena 3 zenye vifaa vipya kama ni msaada.Vifaa hivyo vinaweza kutusaidia Zanzibar, zinahitajika 15000 Euro kuvisafirisha.
Kama wapo wenye uwezo wa kutufanyia connection na Donnors au SMZ kama watajikita pia tutashukuru na wananchi watafaidika.

Orodha ya vifaa kwenye maconenta hayo:
37 night bed tables
18 beds
2 checking lights
4 cronic chairs
2 rolling chairs for old people
3 gyncolgy beds
4 rolling chairs
1 radiology light board
1 big T.V
1 chair for the doctor
1 container sterilisering equipments ( for operation room )
2 special chairs for checking the patients
1 doctor chair.

Wasiliana na Benn kwa kupata maelezo zaidi juu ya macontana hayo anwani benntz@yahoo.co.uk

No comments:

Post a Comment