Monday, March 15, 2010

BAJAJI MAYAI


Kuna siku nilikua naangalia vichekesho vya wale ze komedi nikamsikia masanja mkandamizaji katika vile vichekesho alikua akizungumzia mambo ya vibabaji na akanasema kama kuna siku wachina kwa utundu wao watatoa bajaji mayai, sasa hatimae imekua kweli.

Hatimae Wahindi wamefyatua bajaji mayai na bajaji hizo inaonekana ziko safi kwa umbo lake na tayari zimeshaingia sokoni.

.

No comments:

Post a Comment