Monday, February 15, 2010

MAFUNZO YAANZA VIBAYA KLABU BINGWA

Mabigwa wa soka kutoka Zanzibar timu ya Mafunzo jana walianza vibaya mashindano ya Klabu bingwa Afrika kwa kufungwa na timu ya Gunners kutoka Zimbabwe mabao mawili kwa moja.

No comments:

Post a Comment