BAADA YA GIZA NA UKOSEFU WA MAJI ZANZIBAR SABABU KUU UMEME HATIMAE TAREHE 01/3/2010 UMEME WAWASHWA
Kwa habari za kuaminika kutoka kwa wataalamu wa umeme huko fumba kisiwani zanzibar hatimae umeme wanategemewa kuwashwa rasmi hapo 01/3/2010 mmoja katika mafundi hao alisema kwa sasa kila kitu kimekamilika hakuna sababu yeyote hadi sasa labda litokezee tatizo jengine mara tu baada ya kuwasha.
Pia mwandishi wetu alikutana na waziri wa nishati muheshimiwa Mansour Yussuf Himid na kumuhoji juu ya suala zima kuhusiana na umeme na maji kuwa wanachi wa zanzibar takribani miezi mitatu sasa wanapata shida sana maji tabu .
Pia mwandishi wetu alikutana na waziri wa nishati muheshimiwa Mansour Yussuf Himid na kumuhoji juu ya suala zima kuhusiana na umeme na maji kuwa wanachi wa zanzibar takribani miezi mitatu sasa wanapata shida sana maji tabu .
Wakati mwengine wananchi wananunua maji tena maji yenyewe ya udanganyifu mana huuziwa maji ya chunvi bila wao kujua pia vifo vinavyo sababishwa na mageneretar na joto usiku hakuna kulala waziri huyo yote hayo alikiri na kusema nikweli ila tunatarajia kuurudisha umeme haraka iwezekanavyo ili kuepusha matatizo yalipo nchini , mwezi ujao 01/3/2010 pia mimi nawataka Wanzanzibari na wananchi mbali mbali waishio zanzibar kua na subra na uvumilivu.
hii,bora isikubalike kwa pale kwetu maana itakua uonevu,lkn wakipanga wao ndio ishapita hio ss letu jicho tu
ReplyDeleteHii habari inapingana kabisa na hiyo iliyotoka leo kwenye nipashe.
ReplyDeleteKwa kweli hakuna tarehe inayojulikana ya kurudi umeme.