Baada ya ukame wa muda mrefu, mvua kubwa zilipoanza kunyesha katika mkoa wa kaskazini mashariki nchini Kenya zilisababisha mafuriko yaliobomoa barabara.Magari zaidi ya 40 yakiwa yamebeba chakula cha misaada ya wakimbizi wa kisomali yalikwama kutokana na kuwa barabara hazipitiki.
No comments:
Post a Comment