Nyumba hii inauzwa ipo maeneo ya Mombasa karibu na skuli ya SOS na ipo karibu na barabara kuu ya kwa Mchina inayoelekea kiembe samaki, nyumba ina vyumba vitatu na chumba kimoja cha "master bed room", nyumba hii inauzwa sh 55Milioni, kwa maelezo zaidi wasiliana na Salum Humoud kwa simu nambari +255 774 309 094.
Nyumba hii ina "master BAD room" au "master BED room" ?
ReplyDeleteShukran kwa kunisahihisha
ReplyDelete