Thursday, July 15, 2010

MAMBO YA USAFI YANAVYOPEWA UMUHIMU KWENYE NCHI ZA WENZETU

Gari hili ni maalum kwa kufagia pamoja kuzoa taka
Gari hii inafanya kazi ya kukosha uwanja

Leo nilipopita maeneo ya madukani katika kutafuta mahitaji ya kawaida nilipita sehemu hii ambayo kila siku ya Alhamis na Jumamosi kunakua soko la wazi na mara tu baada ya soko kufungwa huwa kunafanyika usafi wa hali ya juu ikiwa ni pamoja na kupita kwa gari la kufagia pamoja na kuoza taka zote na baadae linapita gari ambalo linakosha sehemu yote ambayo soko lilikua kama inavyoonekana kwenye picha, kwani wao wameweza wana nini na sisi tunashindwa tumekosa nini?

No comments:

Post a Comment