Wednesday, June 2, 2010

FABIO CAPELLO ATAJA KIKOSI CHAKE

Kifuatacho ni kikosi kitakachoiwakilisha Uingereza katika michuano ya fainali za kombe la dunia itakayofanyika huko Nchini Afrika Kusini:


Goalkeepers:
James, Green, Hart

Defenders:
Ferdinand, Terry, King, Upson, Carragher, Cole, Johnson, Warnock

Midfielders:
Gerrard, Lampard, Wright-Phillips, Milner, Barry, Carrick, Joe Cole, Lennon
Strikers: Rooney, Crouch, Heskey, Defoe

Katika hali ya kushangaza wengi Capello amemuacha kiungo mshambuliaji Theo Walcott ambae alitoa mchango mkubwa katika hatua ya makundi kutafuta kufuzu kuingia fainali za kombe hilo na pia ndio aliekua ni tegemeo la Waingereza wengi.

Wachezaji wengine ambao wameachwa katika kikosi hicho ni pamoja na Dawson, Baines, Johnson, Parker, Huddlestone, Bent

No comments:

Post a Comment