Sunday, May 9, 2010

FOCUS TRAVEL LTDFOCUS TRAVEL LTD. ni Travel Agency mpya ambayo imefunguliwa Zanzibar, ina huduma za haraka na zinazokwenda na wakati, ipo katika mtaa wa Malindi kwenye jengo la "CINE AFRIQUE" jengo ambalo zamani ilikua ni sinema ya Malindi. Kwa safari za ndege za ndani ya nchi na kwengineko Duniani,wasiliana nao kwa namba za simu na anuani zifuatazo:-

MOB: (+255) 773 111008 au (+255) 777 842728
TEL: (+255) 24 238999
P.O.BOX 4162. Zanzibar,Tanzania
.

No comments:

Post a Comment