Monday, April 12, 2010

TANGAZO LA MUHADHARA

Assalam Alaykum.

Ndugu waislamu,

Munaarifiwa Muhadhara (wanaume na wanawake) siku ya Jumamosi 01/05/2010 saa 8:30 za mchana, hapo
Spencer Street.
Clydebank.
G81 3AS.

INSHAALLAH. Tutakuwa na wasemaji wenyeji wa Scotand na baadhi kutoka England.Mada ni
1: Dalili za kuwepo ALLAH.
2: Kufanya urafiki na watu waovu.
3: Tafsiri ya Suratul FATIHA.
Na mwisho wa shughuli patatolewa taqadum.

Kila mwenye kupata ujumbe huu amuarifu na mwenziwe.

Ahsanteni.

.

1 comment:

  1. Meyafamu yote kasoro neno mmoja limenishinda kujuwa lakiswahili Taqadum nakuomba nijulishe ni nini

    ReplyDelete