Friday, April 9, 2010

NI AKILI AU MATOPE?

Askofu Augustino Shayo wa kanisa katoliki Zanzibar Mbele ya kaburi la Mzee Karume akimuombea,

Lakini mimi najiuliza Vyereje kwenye Du'a ya kumuombea Muislam akakaribishwa Askofu Kuomba? kwa sababu nijuavyo mimi kwa sisi Waislam unaposema neno Du'a inamaana ni masuala ndani ya Dini yetu ya Kiislam sasa hawa akina askofu ilikuaje?.


.

No comments:

Post a Comment