Tuesday, April 6, 2010

NDANI YA DEKAMARKT JIONI YA LEO

Leo tuliingia ndani ya Dekamarkt kwa kutafuta vitu fulani na hii ndio hali halisi ndani ya Markt hio.

Cash desk za kumwaga

Mtunda na mboga mboga


Mafriza ya chipsi
Aina mbali mbali za juice
Mafriji ya ice cream

No comments:

Post a Comment