Saturday, April 3, 2010

MAMBO YA KFC HENGELO

Leo baada ya Arsenal kupata goli katika dakika ya 98 wakati ambapo walikwisha kata tamaa ya ushindi, ilibidi tupigwe offer ya KFC.Chuchu yuko mbele kwenye msongo akisubiri vidoo vya kuku
Hii ni sehemu ya juu
Sehemu ya ngazi kuelekea juu.

2 comments:

  1. jee!!! ni halali au mnajilia tu kwa kuwa mpo majuu?

    ReplyDelete
  2. Kwa hili sijui itabidi nifuatilie

    ReplyDelete