Monday, April 5, 2010

KAZI NI KAZI TU


Mfanya biashara huyu wa rikwaa akiwa tayari kushusha mzigo apahali ambapo alitakiwa kuupeleka, hii ndio njia yake ya kujipatika kipato cha kumuwezesha kuishi, na hapa inasemekana ni maeneo ya Msikiti Barza ila sina uhakika kama ndipo.

.

No comments:

Post a Comment