Sunday, March 7, 2010

TAARIFA YA UMEME ZANZIBAR

UMEME UMERUDISHWA, REPEAT UMEME UMERUDISHWA BAADA YA MATTENGENEZO MAKUBWA.

HIVI SASA UMEFIKIA HAPO MTONI CONTROL NA ENERGIZING YA T1 NA T2 AT 132KV PRIMARY 33KV SECONDARY

TAYARI SUCCESSFUL……

KESHO MONDAY FEB 08 0700ZULU ALIAS 1000LTZNZ MATANGAZO YA TAHADHARI ZA KUREJESHA MAJUMBANI KWA MAJARIBIO YA LOAD TESTING YATATANGAZWA KUELEKEA 1205ZULU ALIAS 1505LTZNZ KUREJESHWA HDUMU HII MUHIMU KWA KUENDELEZA MAJARIBIO….Eddy Riamy

No comments:

Post a Comment