Thursday, March 25, 2010

MWANAMKE MWENYE LENGO LA KUA MNENE KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIANI


Donna akiwa na mwanawe wa kike Jacquline akimsaidia kufanya Shopping kwenye Supper Market moja huko New Jersey
Aanaitwa Donna Sampson ana umri wa miaka 42 mkaazi wa New Jersey huko Marekani, kwa sasa ana uzito wa kilo 273 huku matumaini yake ni kuwa mara mbili ya unene alionao hivi sasa ili awe mwanamke mnene zaidi ya wote duniani.Dona ambae uwezo wake wa kutembea kwa miguu hauwezi kupindukia zaidi ya 20ft huwa anatumia kigari kwa ajili ya kwenda kwenye shughuli zake, licha ya unene alionao lakini aaonekana ni mwenye afa njema.

No comments:

Post a Comment