Friday, March 19, 2010

MSHINDI WA CHOMOKA NA VESPA APATIKANA

Mkombe Juma Khami ambae ndie mshindi wa shindalo la chomoka na vespa akiwa juu ya vespa aliyojishindia mara baada ya kukabidhiwa, shindano la chomoka na vespa linaendesha na kampuni kubwa ya simu Zanibar Zantel , pembeni ni afisa masoko Zantel Zanzibar, Ibrahim Atas.

.

No comments:

Post a Comment