Thursday, March 4, 2010

Macontena - Wananchi hima hima michango yenu inahitajika!
AS

Shk Benn amefanikiwa kupata picha ya baadhi ya vifaa ambavyo vimekwama huko Finland kwa sababu ya fedha za usafirishaji.Vifaa hivi ni idadi ya contena 3, ambazo vimetolewa kama ni msaada na vinaweza kusafirishwa mara moja kupelekwa Zanzibar pindipo kutapatikana fedha za usafirishaji contena hizo 3.

Tunaomba viongozi wa SMZ, wabunge, wawakilishi wetu, mawaziri na hata Rais wetu Dk.Karume ikiwezekana wafanikishe suala hili la usafirishaji wa vifaa hivi ambavyo vitasaidia kwenye hospitali zetu za Zanzibar.

Sisi wananchi tuko kwenye harakati za kupiga harambee, lakini gharama za usafirishaji ni kubwa na hatuna uwezo mkubwa wa kufanikisha.

Hivyo kila mwananchi fanya wajibu wako, vile vile viongozi wetu pia tafadhali musituangushe muchangie masuala ya jamii.

Description:
3 X Containers comprising of:
37 X night bed tables
18 X beds
2 X checking lights
4 X cronic chairs
2 X rolling chairs for old people
3 X gyncolgy beds
4 X rolling chairs
1 X radiology light board
1 X big T.V
1 X chair for the doctor
1 X container sterilisering equipments ( for operation room )
2 X special chairs for checking the patients
1Xdoctor chair.

Michango yote inapokelewa kwa njia mbili zifuatazo, moja ni ya bank na nyengine ni ya Paypal.

Contribution Methods:

1.

Back Accounts:
Address

Ã…landsbanken Abp
PB 3
AX-22101 Mariehamn
Nygatan 2
Ã…land
Suomi – Finland

e.mail’ aland@alandsbanken.fi
tel.+358.18.29011 or +358(0)204 29 011
Website ‘www.alandsbanken.fi‘

Make a payment order
Account holder: Benn Haidari

Account number:660100-03260957

To make a payment order to the Bank of Ã…land Plc, use its Bank Identifier Code (BIC, also called the SWIFT code) AABAFI22 and an IBAN account number FI7166010003260957.

Correspondent banks

Below you will find information regarding the Bank of Ã…lands correspondent banks for the euro, the Swedish krona (crown) and the US dollar.

EUR: KBC Bank, Brussels BIC/SWIFT: KREDBEBB
EBA STEP1

SEK: Skandinaviska Enskilda Banken, Stockholm, BIC/SWIFT: ESSESESS.

USD: Bank of New York, New York, BIC/SWIFT: IRVTUS3N

2.

PAYPAL i.e admin@mzalendo.net.

Tangazo hili ni kwa niaba ya MZALENDO.NET


No comments:

Post a Comment