Wednesday, March 3, 2010

KICHWA CHA MWENDAWAZIMU

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo imechabangwa mabao 3-2 na timu Taifa ya Uganda Cranes katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM kirumba huko Mwanza.

No comments:

Post a Comment