Wednesday, February 17, 2010

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA RELI WADAI MISHAHARA YAO

Wafanya kazi wa shirika la Reli Tanzania (TRL) walikusanyika katika makao makuu ya shirika hilo jijini Dar-es-salaam leo hii kwa ajili ya kudai mishahara yao

No comments:

Post a Comment