Monday, February 8, 2010

MWIZI SUGU ATIWA MOTO MOMBASA

Jamaa mmoja anaejuilikana kwa jina la Big man alikamatwa na wananchi wenye hasira na kuchomwa moto hadi kufariki dunia, jamaa huyo ambae inasemekana ni mwizi hatari ambae anawasumbua sana wakaazi wa mtaa wa Bush bar mjini Mombasa alikamatwa na kuchomwa moto juzi mnamo majira ya saa mbili asubuhi, wakaazi wa maeneo ya Bush bar walionesha kufurahishwa na kifo cha mwizi huyo kwani imeelezwa kuwa jamaa huyo alikuwa kero sana hasa kwa akina mama ambao walikua wakenda sokoni huwa anawavamia na kuwapiga baadae kuwanyang'anya vitu vyao.

1 comment:

  1. hii hukumu haifai kwa sababi Allah anasema huku ya moto ni yake peke yake.

    ReplyDelete