Sunday, January 24, 2010

MNAKUMBUKA HAYA MAMBO?

Mambo haya nayakumbuka yalikua yakipatikana sehemu mbali mbali ambazo ni maarufu licha ya kuwepo sehemu nyingi ambazo sio maarufu, sehemu maarufu kama vile kwa Adnan, kwa kijiko, kwa bi Tumai na kuna yule wa pale mlandege kwa Satar karibu na msikiti wa baruan yeye nimemsahau jina.

No comments:

Post a Comment