Sunday, January 24, 2010

BARAFU BADO INAANGUKA

Barafu imeanguka tena usiku wa kuamkia leo huku mjini kwetu na kufanya kibaridi kupepea kwa nguvu, siku kadhaa zimepita tangu ilipoyayuka ile barafu iliyoanguka katika mwezi wa Disemba

No comments:

Post a Comment