Friday, January 1, 2010

KAHAWA YA ZANZIBAR

Mimi kuna maswali kila siku najiuliza kuhusu hii kahawa ya Zanzibar, kwa nini asilimia kubwa ya wanyaji wa kahawa Zanzibar ni watu wazima? pia ni kwa nini vi kwa nini hivi vikombe vya kahawa vikawa vidogo na havina mikono?

1 comment:

  1. UNAJUA SHEKHE OMMY RAHA YA KAHAWA LAZIMA UUNGUWE UNGUWE MIKONO KIDOGO

    ReplyDelete