Saturday, January 23, 2010

AKUTWA UFUKWEI AKIWA AMEKUFA

Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Samson Kivinge aliyekua mfanyakazi wa ubalozi wa Denmak, maerehemu alikutwa akiwa amekufa katika ufukwe wa karibu na hospitali ya Aga Khan leo asubuhi

No comments:

Post a Comment