Thursday, December 10, 2009

OBAMA KUPOKEA KUPOKEA TUNZO YA AMANI YA NOBEL OSLO LEO

Picha inamuonesha rais Obama akitia saini kitabu cha wageni katika ofizi za taasisi ya Nobel mjini Oslo mapema leo hii.

Watu wengi wanajiuliza hasa wale wapinza wake ni kwa nini rais Obama akatunukiwa tunzo hii ya amani wakati ambapo ndio kwanza ameagiza maaskari 30,000 kwenda Afghanistan, lakini rais Obama katika mkutano aliofanya na waandishi wa habari mjini Oslo alipokua na mwenyeji wake waziri mkuu wa Norway bwana Jens Stoltenberg alisema kua.
"Sina shaka kwamba kuna wengine ambao wanaweza kustahili zaidi, Kazi yangu hapa ni kuendelea kwenye njia ya kuwa naamini sio tu muhimu kwa Amerika lakini muhimu kwa amani na usalama wa kudumu katika ulimwengu."

No comments:

Post a Comment