Monday, December 14, 2009

NASSOR MAZRUI JUMA DUNI HAJI WATEULIWA KUWA WAWAKILISHI

Kwa mujibu wa taarifa za SMZ, Dkt Amani Karume, amewateua wanachama wawili wa CUF, Juma Duni Haji na Nassor Ahmed Mazrui, kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Mengi zaidi yatarajiwa. Tuombe kheri inshaAlla............

No comments:

Post a Comment