Ratiba ya timu 16 zinazocheza ligi ya klabu bingwa barani Ulaya imetolewa hii leo. Michezo ya kwanza itafanyika Februari 16 mwaka 2010.
Ratiba yenyewe inasomeka kama ifuatavyo:-
Inter vs Chelsea
Lyon vs Real Madrid
AC Milan vs Manchester United
Olympiakos vs Bordeaux
FC Porto vs Arsenal
CSKA Moscow vs Sevilla
Stuttgart vs Barcelona
Bayern Munich vs Fiorentina
No comments:
Post a Comment