Wednesday, December 23, 2009

HAWA NDIO WAKWEZI NA WAKULIMA WA KIZANZIBARI WALIOFANYA MAPINDUZI WAKIWA NA MAWE YAO WALIYOPINDULIA

2 comments:

 1. Yasije yakakuingia sana kwenye kichwa hayo ya mapinduzi, John Okello ni mtu kutoka Uganda na aliporudi kwao nafikiria alikutana na Iddi Amini akauliwa.Hakuna mzanzibari abadan, na wala si dhamira ya wazanzibari kufanya mapinduzi hayo.

  Vyovyote iwavyo, mapinduzi na muungano ni vitu vilivyotokezea hatuwezi kuepuka hilo.

  Tunachotakiwa kufanya sasa wazanzibari ni kusahau mambo yaliyotokea miaka ya 60, na kutizama mbele wapi tunakwenda.

  Mbeleni tumekabiliwa na mtawala mwengine ambae ni Tanganyika, hakuna dalili zinazoonesha kama iko siku wataweza kujadili na kutuachia visiwa vyetu!

  Kurekebisha hilo, wazanzibari hatuna budi kuweka nyuma tofauti zetu na kuungana pamoja kutatua suala zima la muungano!

  ReplyDelete
 2. Unajua kuna watu bado hawajui ukweli wa nchi yao wapi imetoka kutokana na zile dhana potofu zinazopandikizwa kila kukicha

  wakati huu ambapo tunapigania ukombozi wa nchi yetu na haya mengine pia tusiyasahu kwani watu watapata kuamsha hamasa na kujua kumbe wanadanganywa kila siku iendayo kwa Mungu

  ReplyDelete