Thursday, November 19, 2009

WATU WENGI ZIMBABWE NI MILIONEA LAKINI SIO MATAJIRI

Kununua mkate tu basi lazima uwe milionea
Jamaa akilipa baada ya kula chakula Restaurant
Zimbabwe vipochi havitumiki

2 comments:

  1. Kwanini si matajiri na ni mamilionea?...Baraka za Mugabe hizo!

    ReplyDelete
  2. hahahahaaaaaaaaaaa! kwa hio mugabe oyeeeeeeeeee?

    ReplyDelete