Wednesday, November 18, 2009

KARUME KATIKA UFUNGUZI WA MADARASA YA KILIMO

Rais Karume pamoja na balozi wa Japan nchini Tanzania Mr Hiroshi Nagakawa, wakikata utepe kwa pamoja jana, katika ufunguzi wa madarasa ya kilimo katika eneo la Tunguu mkoa wa kusini Unguja, ubalozi wa japani ndio uliodhamini ujenzi wa madarasa hayo

No comments:

Post a Comment