Monday, November 9, 2009

ABDI NA SAIDA WAFUNGA NDOA GEMENTE ALMELO

Kutokana na mshika veli kuingia mitini ilibidi wenyewe tufanye kazi hio
Ommykiss, Said, Couchmanu, na Dulla tulipata kumbukumbu baada ya harusi

Nabiel pamoja na visheti kama kawaida
Bwana harusi Abdi na Bibi harusi Saida wakiweka kumbukumbu kabla ya harusi

Licha ya baridi lakini watu walionekana ni wenye furaha
Taswira baada ya harusi
Ali chuchu Mani Dulla pamoja na mpiga picha Said nao pia walipata kumbukumbu muhimu
Majirani marafiki pamoja na wafanyakazi wa Gemente katika picha ya pamoja (mwanamke mwenye shati nyeusi na flana ya pink ndie alieozesha)

Bwana na bibi harusi wakikubaliana kuishi pamoja

Abdi akimwaga wino

Saida nae pia alimwaga wino
Mambo ya ndoa

3 comments:

 1. Hongera na pongezi...nimefurahi sana nilivyoiona hizi picha.

  Kila la kheri...

  Muhsin

  ReplyDelete
 2. duh! ameozesha mwanamke? au ndo sayansi na technologia

  ReplyDelete
 3. haloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommependeza wenye wivu wajinyonge

  ReplyDelete