Monday, September 28, 2009

MANCHESTER CITY WAIKANDAMIZA WEST HAM 3 - 1

      

Timu ya manchenster City leo imeikandamiza mabao 3 - 1 timu ya West Ham, bao la kwanza la City lilifungwa na Carlos Teves, la pili likafungwa na Martin Petrov kwa njia ya free kick na baadae Carlos teves tena kwa kumalizia bao la tatu, na bao la kufutia machozi la West Ham lilifungwa na Carton Cole

No comments:

Post a Comment