Tuesday, September 29, 2009

JINSI KI INGLISH KISIVO NA THAMANI ULAYA NJE YA UK

Guido Westerwelle, ambae inatarajiwa sana kuwa ndie atakaekua waziri wa mambo ya nchi za nje wa kijerumani katika serikali ijayo,alikataa kuulizwa swali kwa kiengereza baada kwa kumkumbusha  mwandishi wa habari ambae alimuuliza swali kwa lugha ya kiengereza, alisema "tupo Ujerumani hapa"jibu hilo lilikuja baada ya mwandishi mmoja wa BBC kumuuliza kama je angeweza kujibu swali la kiengereza?, lakini bwana Westrewelle alijibu sali hilo kwa lugha ya kijerumani. Mwandi huyo wa BBC aliuliza tena swali kama je anaweza kuuliza swali kwa kiengereza na yeye akajibu kwa kijerumani?ndipo Bwa Westernwelle alipomwambia kama "England watu wanazungumza kiengereza, kwa hio ni sawa na hapa watu wanazungumza kijerumani" alisema kwa lugha ya kijerumani.

No comments:

Post a Comment