Thursday, April 8, 2010

PRINCESS MAXIMA NDANI YA BONGO

Princess Maxima wa Uholanzi akiwa akipokea zawadi ya majani ya chai, kahawa pamoja na korosho kutoka kwa Waziri wa Fedha na Uchumi wa Tanzania Mustafa Mkulo, Maxima yuko Tanzania kwa ziara ya siku mbili kuhamasisha mambo ya umuhimu wa Benki kwa wananchi.

.

No comments:

Post a Comment